Jumapili, 7 Agosti 2016

Ubatizo wa Kihistoria!

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mungu ametenda mambo makuu ya ajabu katika kufanikisha kazi ya injili kwa vijana tangu tumeanza seminari yetu ambapo vijana wa kiume wanalelewa katika uadilifu na maadili ya neno la Mungu, tumekuwa tukibatiza idadi ya wanafunzi wapatao 70 hivi kila mwaka lakini mwaka huu imekuwa rekodi kubwa zaidi ya ubatizo kupata kutokea hiiinanifanya niifurahie kazi ya Mungu ninayoifanya mashuleni idadi na majina na piacha za vijana waliomkiri Yesu na kukubali kubatizwa mwaka huu tarehe 31 July 2016 ni kama ifuatavyo

UBATIZO: majina na Idadi ya waliobatizwa

1.       DAVID H. MWAISEJE
2.       GEORGE J. NCHILA
3.       FRANCIS J. MWAMBENE
4.       GIFT S. ISSA
5.       BARAKA N. LUWAMBO
6.       EBENEZER J. MAPENDO
7.       FREDY F. KIONDO
8.       STEVEN M. KAJELELO
9.       EMMANUEL M. IRARI
10.   KELVIN A. KESSY
11.   NIKITA P. KWEKA
12.   AIDAN B. BUGUFI
13.   ENDRICK E. KAGUO
14.   EBENEZER JIM KAMOSHO
15.   PHILIPO S. LUSWEMA
16.   DAVID J. KASSA
17.   GEOFREY GERAZI
18.   BARAKA H. KIDA
19.   SHADRACK JOSEPH
20.   EMMANUEL J. DAUDI
21.   BRIAN P. MANI
22.   JUNIOR ISSACK
23.   JUNIOR R. NGANYA
24.   JOHN B. TUMAIN
25.   JOSHUA J. KAGARUKI
26.   MARTIN P. MARTIN
27.   JULIUS J. MLIGHA
28.   ETHAN M. MGANGAMUNDO
29.   HILLARY V. KISHE
30.   MEDARD A. GABRIEL
31.   BYSON VICENT. NGOWI
32.   JACKSON G. CHAUSA
33.   OPTATUS TINKAMWASIGILE
34.   IPYANA S. KANYIKI

35.   DOMINICK A. ADRIANO
36.   IMANI RUTIGINGA
37.   STEVEN E. FUNGO
38.   SHIMIMANA A. MAYENGE
39.   EMMANUEL  P. GONGO
40.   GABRIEL  W. PAYOVELA
41.   GODBLESS F. MINDOLO
42.   HENRY G. SHIRIMA
43.   GEOFREY W. PAYOVELA
44.   ABRAHAM A. NYENZA
45.   CLEMENT G. SEMHANGE
46.   PROSPER  J. GREGORY
47.   RYAN M. SWAI
48.   OCCEANIC B. MTOKAMBALI
49.   GRAND I.GEORGE
50.   VICENT S. MHANDO
51.   VICTOR J. TEKWA
52.   JAMES H. MMBANDO
53.   THOMAS J. KAZIMILI
54.   GREGORY S. SARUNI
55.   INNOCENT J.KANYUNYU
56.   MARCO T. MKWIZU
57.   KEEVEN F. MAGOGO
58.   REVOCATUS GODWIN
59.   JOSHUA J. KIRINGO
60.   DICKSON D. DAUDI
61.   NDUMBALO F. MASHIMI
62.   RON B. BILL
63.   ELVIN STANLEY
64.   JAVENCE Y. MASSAWE
65.   DAVID S. KILASILE

66.   SYLIVESTER P. MATAGI
67.   DAVID J. ISIDORI
68.   KELVIN D. SWAI
69.   BRIGHTON M. NDOSSY
70.   KASSAM KIONDO
71.   FLAVIAN FESTO
72.   SAMUEL I. PONDA
73.   FRANCIS O. MNGAZIJA
74.   YUSUPH J. SEMHUNGE
75.   ARNOLDO A. MOLLEL
76.   PRINCE M. LINJE
77.   MARK DAVIES
78.   LODRICK. L. LUGUSI
79.   BENJAMIN M. HAMILTON
80.   EDWIN SANGA
81.   LOUIS .P.NKEMBO JR
82.   EMMANUEL G. KOMANDO
83.   WAHENGA R. MKUCHA
84.   MARTIN G. MHONE
85.   EMMANUEL I. PONDA
86.   GODWN A. MONGI
87.   BEKA KAWANARA
88.   BRIGHT HOPE- JOEL
89.   DAVID   M. JOHN
90.   JOSHUA LABAN
91.   RICHARD C. MAFUPA
92.   CHRISTOPHER S. OWISSO.

93.   INNOCENT SHEGHEMBE
94.   EMILY JOHN
95.   RICHARD KILEO
96.   MATHIAS PETER
97.   PETER MARK
98.   ARASMUS ARUMAS
99.   EMMANUEL NYELO
100.                        AGAPE  P. MVUNGI.
101.                        PROSPER DANIEL
102.                        FIRMIN BENDERA





 Wanafunzi wa Living Stone Boys' Seminary waliokubali kumpa Yesu Maisha wakiwa tayari kwa kuitimiza haki yote
 Katika hali isiyokuwa ya kwaida safari hii watoto wameipokea Injili na kukubali kubatizwa kuitimiza haki yote Marko 16:16 " aaminiye na kubatizwa ataokoka

 wanafunzi waliobatizwa walikuwa 102 na Raia wa Korea Dr. Sony na Binti mmoja wa kikorea Jumla ya waliobatizwawapata 104 Idadi yao ilikuwa tarehe 31July 2016 jumapili






Ubatizo wa Kihistoria 31st July 2016 Jumapili.
Maandiko yanatimia.
"Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari." Mathayo 28:19-20

 James Mmbando akibatizwa na mkuu wa wajenzi mwenye Hekima
James Mmbando kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Emilyn Mathew kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
 Agape Mvungi akibatizwa na mkuu wa wajenzi mwenye Hekima Rev, Innocent Kamote
Agape Mvungi kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
 
 Firmin Bendera akibatizwa na mkuu wa wajenzi mwenye Hekima Rev . Innocent Kamote
Firmin Bendera kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Firmin Bendera akibatizwa na mkuu wa wajenzi mwenye Hekima Rev . Innocent KamoteFirmin Bendera kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Firmin Bendera akibatizwa na mkuu wa wajenzi mwenye Hekima Rev . Innocent KamoteFirmin Bendera kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

Peter Sophia Mark kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

Brighton Ndosi kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Brighton Ndosi kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Brighton Ndosi kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

Prosper Daniel kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
 
Propser Daniel kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Prosper Daniel kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

Andrew Matika kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen



Erasmas Arumas kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Erasmas Arumas kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen




Innocent Sheghembe kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Innocent Sheghembe kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen


Oceanic Barnabas Mtoka mbali (Mtoto wa Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies Of God)kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen


David Mbaga kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
David Mbaga kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
David Mbaga kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
David Kilasirekwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Vincent Mhando kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen





Joshua Laban Simpamba kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Samuel Isaack Ponda kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Javence Masawe kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Javence Masawe kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Immanuel Isaack Ponda kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Immanuel Isaack Ponda kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Victor Tekwa kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Victor Tekwa kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Rev. Missionary Andrew Park, Rev. Dr. George Nywage na Rev. Innocent Kamote wakimtukuza Mungu baada ya kukamilisha zoezi la kubatiza wanafunzi 102 na raia wa Korea kusini wawili mmoja akiwa ni mwana Sayansi na mvumbuzi maarufu sana Diniani Dr. Son
Rev, Dr. George Nywage na Rev. Dr. Jotham Mwakimage wakibadilishana mawazo na wageni
Rev. Andrew Park akimtambulisha Rev. Dr. Jotham Mwakimage na Rev. Dr. George Nywage kwa wageni wa kikorea walikuja kushuhudia ubatizo wa aina yake
Rev, Dr Jotham Mwakimage Ritied Bishop akitambulishwa kwa wageni wa Kikorea waliokuja kushuhudia zoezi zima la Ubatizo wa kimataifa
Nikiwa na Kiongozi wa Ibada Nikson Tarimo ambaye aliandikisha majina ya wabatizwaji kwa agizo langu
Nikiwa na Kiongozi wa Ibada Nikson Tarimo ambaye aliandikisha majina ya wabatizwaji kwa agizo langu
Agape Mvungi kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Andrew Matika kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Brigthon Israel Ilunde kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Brighthope Joel Songela kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

Toka mautini mpaka Mezani kwa Bwana!


Yohana 11:32-44: 12:1-2
 
32.Basi Mariamu alipofika pale alipokuwapo Yesu, na kumwona, alianguka miguuni pake, akamwambia, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa. 33. Basi Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliofuatana naye wanalia, aliugua rohoni, akafadhaika roho yake, 34. akasema, Mmemweka wapi? Wakamwambia, Bwana, njoo utazame. 35. Yesu akalia machozi. 36. Basi Wayahudi wakasema, Angalieni jinsi alivyompenda. 37. Bali wengine wao wakasema, Je! Huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife? 38. Basi Yesu, hali akiugua tena nafsini mwake, akafika kwenye kaburi. Nalo lilikuwa ni pango, na jiwe limewekwa juu yake. 39. Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne. 40. Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? 41. Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia. 42. Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma. 43. Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.  44. Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi, na uso wake amefungwa leso. Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.”

“1. Basi, siku sita kabla ya Pasaka, Yesu alifika Bethania, alipokuwapo Lazaro, yeye ambaye Yesu alimfufua katika wafu. 2. Basi wakamwandalia karamu huko; naye Martha akatumikia; na Lazaro alikuwa mmojawapo wa wale walioketi chakulani pamoja naye.”

 Kaburi la Mtakatifu Lazaro huko Bethania Nchini Israel

Utangulizi:

Vifungu hivi vya Biblia ni moja ya vifungu vya kushangaza sana katika Biblia,Ni kifungu kinachotupa wasomaji wa Biblia nafasi ya kuona Nguvu, utukufu na fahari ya Yesu Kristo na Uweza wake, Hapa tunamuona mtu anayeitwa Lazaro akifufuliwa toka mautini mpaka kukaa karamuni mezani na Bwana.
Katika kifungu hiki tunaona kile ambacho Yesu alikifanya kwa Lazaro, na hiki ndicho anachowqeza kukifanya pia kwa wale waliopotea au kufia dhambini, Kifungu kinatuonyesha jinsi Yesu alivyo na uwezo wa kukutoa katika hali mbaya na kukualika katika Karamu pamoja naye katika hali yoyote ile uliyonayo yenye kuashiria kufa na kuharibika kwa kila kitu katika hali ya mauti Yesu anao uwezo wa kukuleta katika furaha na uchangamfu.

Mstari 32-42 Hali ya Lazaro.

Alikuwa masikini na mtu aliyechakaa, aliugua kwa muda mrefu na sasa amekufa hayuko hai tena, alikuwa sasa kaburini, Familia ndugu na jamaa walikuwa wamekusanyika kwa msiba na maombolezo, Yeye hangeliweza kuwasikia kwa vile amefariki, Hata Yesu alipolisogelea Kaburi lake asingeliweza kusikia kitu wala kuhisi uwepo wa Bwana, hii inaweza kuwa hali ya kila mtu ambaye hajamwamini Yesu ni mfu mbele za Mungu Waefeso 2:1 Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa yenu ndivyo Biblia isemavyo, Dhambi hutufanya tusihisi uwepo wa Mungu, hatuwezi kumjibu mungu lolote katika hali ya uovu na dhambi, wala hatuwezi kuwa na ushirika naye wala na wenzetu, Lazaro alikuwa amekufa na amezikwa.

Alikuwa ameoza kwa mujibu wa Maelezo ya Martha Lazaro alikuwa amekufa siku nne sasa alikuwa ameanza kuharibika, kama ni hatua ya kifo imekwenda mbali zaidi, Yesu alikuwa amefufua watu kadhaa ambao walikuwa wamekufa Luka 8 alimfufua binti wa Yairo na Luka 7 alimfufua kijana wa mjane huko naini, wote hao walikuwa wamekufa lakini walikuwa hawaanza kuoza labda walikuwa wamekufa saa chache tu, lakini sivyo ilivyo kwa Lazaro alikuwa amekufa na alikuwa amezikwa na sasa ameoza, Wakati Yesu anafika Kaburini alikozikwa lazazo ilikuwa zimepita siku nne sasa alikuwa ananuka, alikuwa amekufa kiasi ambacho kila mtu alikubali kuwa amekufa,kifo cha kimwili nafuu yake ni mazishi tu na kifi cha kiroho nafuu yake ni Jehanamu tu Warumi 6:23.

Lazaro alikuwa ni maiti iliyoharibika.

Unapomsikiliza Martha na Mariam Mstari wa 21,32,36 unaweza kupata wazo lililowazi kabisa kuwa Lazaro alikuwa ni maiti iliyofikia hatua ambayo hakuna lingine linaloweza kufanyika na wote tunaweza kukubaliana kuwa huo ndio uhalisia, kisayansi na kitaalamu, Lakini kitu cha kushangaza ni huyu mwanaume anayeitwa Yesu, huyu yeye anauwezo wa kufanya mambo kuwa tofauti, watu wanaweza kukuweka kaburini na hata kukukatia tamaa na inawezekana kabisa hata ndugu zako wakakubaliana kabisa kuwa wewe mambo yako hayawezekani tena, tabia zako, hali yako, mwenendo wako, Biashara zako, Masomo yako, magonjwa yako, ndoa yako, kila mtu akasema haiwezekani tena, huinuki tena, hutoki tena,basi tena wakakuweka kaburini, na kutokutaka kukusogelea huko wakaombolezea kwa mbali, lakini yuk mmoja ambaye anaweze kubadilisha mazingira anaweza kumuinua myonge kutoka jalalani, anaweza kufufua nafsi yako anaweza kurejesha matumaini yaliyokufa, anaweza kufanya tofauti katika maisha yako, anaweza kufanya yasiyowezekana yakawezekana, anaweza kugeuza huzuni yako kuwa furaha, msiba wako kuwa Harusi,kunuka kwako kuwa kunukia, kukataliwa kwako kuwa kukimbiliwa, kuchokwa kwako, kuwa kibali, kukimbiwa kwako kuwa kukimbiliwa Ni Yesu ni Yesu ni Yesu pekee anayeweza kufanya tofauti katika maisha yako, kuna uwezekano ukawa umekata tamaa na watu wakakukatia tamaa lakini habari njema leo ni kuwa Yesu analikaribia kaburi lako, Yeye ndiye pekee anayeweza kufanya tofauti katika matumaini yaliyokufa Matendo 4:12, Yohana 14:6, Yesu alilisogelea kaburi la mtu aliyeachwa peke yake, ananuka, ameoza, ameshindikana yuko gizani na kubadilisha mfumo wa Mambo.

43-44 Yesu alimuita Lazaro.

Yesu alipokwenda Kaburini alimuita Lazaro tu, najua kulikuwa na sababu maalumu angesema ewe uliyekufa amka njoo huku wafu wote wangefufuka, Yesu alikuwa na akili sana alimuita yule aliyemkusudia tu, wakati wote Mungu anapoita pia kupitia ujumbe maalumu kama huu, anamuita mtu mmoja binafsi huyu ataguswa na mwito huu, wapezni wito wa Mungu sio wa jumlajumla Mungu anamakusudi na kila mmoja wetu kwa jinsi yake ni imani yangu kuwa Yesu anamakusudi na ujumbe huu kwa mtu Fulani na ni lazima aguswe, Mungu anataka watu wote waokolewe 1Timotheo 2:4, na kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa Warumi 10:13, Ufunuo 22:17, mLakini yesu alikuja kuokokoa kile kilichopotea Luka 10:19 yuko mtu ujumbe huu unamuhusu.

Yesu alimuita Lazazo na ni Lazaro aliyetoka kaburini alipoitwa, Mungu anakuita katika wokovu, katika uponyaji, katika wito wa kumtumikia Mungu, anakuita kutoka katika shida zako na mahitaji yako anakuita wewe amekuona wewe anataka kukusaidia wewe Toka huku nje, ondoka kaburini, ondoka gizani yuko Mwanaume anayekuita leo huyu ni Yesu

Lazaro alipoitwa nini kilitokea?

·         Uhai ulirudi ndani yake
·         Aliwekwa huru baada ya kufunguliwa sanda zake
·         Aliona nuru kuu kwani kaburini ilikuwa giza
·         Aliishi maisha ya raha na alikuwa na wakati wa kufurahia maisha sasa alialikwa karamuni na kula na Bwana Yesu 

 Yesu yuko tayari kumuita kila mmoja wetu toka Kaburini mwake, swali la kujiuliza je tuko tayari kuhudumiwa naye, je tuko tayari kuisikiliza Sauti yake?yuko tayari kukupa wokovu, kukuhudumia na kukutumia yeye bado anaita, kama uhusiano wako nay eye umeharibika anakuita mtengeneze ili akualike karamuni mwake naye atakutoa mautini mpaka mezani pake.

Mkuu wa Wajenzi mwenye Hekima!
Rev. Innocent Kamote
0718990796

Jumatatu, 1 Agosti 2016

Ujumbe. Nanena maneno ya kweli na ya akili kamili !


Matendo 26: 24-25 Biblia inasema:-
 
Alipokuwa akijitetea hivi, Festo akasema kwa sauti kuu, Paulo, una wazimu, kusoma kwako kwingi kumekugeuza akili.  Lakini Paulo akasema, Sina wazimu, Ee Festo mtukufu, bali nanena maneno ya kweli na ya akili kamili.”


 Wala sikuyakana yale Maono Matendo 26:19,- "Paulo Mtume"

Utangulizi:
Kifungu hiki ni maneno ya Mtume Paulo, alipopewa nafasi ya kujitetea mbele ya Mfalme Agrippa na Gavana wa Kirumi aliyeitwa Festo, Paulo alikuwa amepewa nafasi ya kujitetea kutokana na mashitaka ya wayahudi waliokuwa wakiipinga Injili, Katika namna ya kushangaza Paulo aliitumia nafasi hiyo kutoa ushuhuda wa Yesu Kristo na wokovu.

Watawala hao wa kipagani walikuwa wanafahamu vema matukio yaliyotokea katika uyahudi na walikuwa wanamfahamu vema Paulo mtume kama mtu msomi, hata hivyo Paulo alikuwa akimuelezea Bwana Mungu aliyemtokea katika maono na jinsi alivyoweza kumuokoa na kumuita katika utumishi huu Festo alipiga kelele kwamba  mtu huyu huenda kusoma kwake kwingi kumempeleka pabaya na kuwa sasa amekuwa na wazimu

Kuwa na wazimu maana yake ni kurukwa na akili ni kuwa nje ya akili zako za kawaida, nje ya usomi wako na utaalamu wako wa kawaida, ni kuwa chizi ni kuwa kichaa

Viongozi hao walimuelewa Paulo alivyokuwa na walimuelewa alivyokuwa akizungumza kabla hajaokoka, baada yakuokoka na kinachoendelea tangu alipokutana na Yesu nay ale ambayo Yesu anaendelea kuyatenda maishani mwake walihitimisha kuwa sasa amekuwa kichaa Lakini Paulo alikazia kuwa Yuko kamili na anazungumza maneno ya kweli na akili kamili

Hivi ndivyo ulimwengu unavyowaona watu waliomuamini Yesu, wanaonekana kama vichaa  na ni vigumu kueleweka kwa akili za kawaida zawadi hii kubwa ya wokovu, ni vigumu hata kuuelwa Ukristo ulivyo makubwa yaliyomchanganya Festo na Agrippa yalikuwa ni maswala haya katika hutuba ya kujitetea ya Paulo 

Matendo 26:12-13 Nuru ipitayo Mwangaza wa jua wakati wa Mchana adhuhuri

Matendo 26: 14- 18 Kutokewa na Yesu na kuagizwa kuhubiri injili

Ni vigumu kuelewa kile anachokisema Paulo kama bado hujaokoka na ni rahisi kudhani kuwa wokovu ni ukichaa lakini kilichomtokea Paulo ni wazi kuwa kinampata kila Mkristo aliyemwamini Yesu 

1.      Kila aliyemwamini Yesu ameona Nuru kuu 2Wakoritho 4:6 1Petro 2:9 Yesu ni Nuru kila aliyeokoka ametolewa gizani kuna nguvu katika nuru hii uwe umekutana nayo usiku iwe imekutana nayo mchana ni nuru ya ajabu ina nguvu ya kuweka Giza lote pembeni na wala havichangamani Yohana 1:1:1-5, tulipokutana na Yesu maisha yalibadilishwa na nguvu mpya ya nuru imeingia ndani yetu

2.      Kukutana na Yesu njiani hili lilikuwa jambo la kuwashangaza viongozi hao wa kipagani walifahamu kuwa Yesu alisulubiwa na alikuwa amekufa, alikuwa mtu dhaifu tu liwali wa kirumi Pilato alikuwa amemuhukumu kifo na kesi yake iko kwenye majalada, ni vigumu sana kuona Yesu anavyowatokea watu na kukutana nao kama uko nje ya wokovu lakini kila aliyeokoka anaelewa uhai wa Yesu Kristo anajua kuwa Kaburi halikumuweza anaelewawazi uwezo wake kwamba yuko hai Ufunuo 1:17-18

3.      Anabadilisha watu bila kujali historia yao
Walimfahamu Paulo kuwa alikuwa
·         Msomi mzuri sana
·         Mtu wa Dini ya kiyahudi aliyebobea
·         Mtu tajiri, mweye uwezo na cheo na ushawishi katika jamii
Sasa amebadilika kabisa tangu alipokutana na Yesu amekuwa kitu kingine kumbe mtu awaye yote wa hadhi yoyote ile akikutana na yesu anakubadilisha 2 Cor. 5:17.Kama watu hawataeewa kuwa Bwana Yesu yuko hai, basi watatambua kuwa yuko hai kwa uwezo wake wa kubadilisha, hakuna kiongozi yeyote Duniani ambaye amewahi kuweko duniani na kuwa na uwezo wa kubadilisha maisha ya watu wake kama Yesu Kristo

Mazungumzo ya Paulo yalikuwa hayaeleweki tena, alikuwa anaonekana kama amevuta bangi
§  Tunaposema Yesu amezaliwa na Bikira, alisulubiwa akafa akazikwa na akafufuka
§  Tunaposema tunaenda kubatizwa na kuzamishwa katika maji mengi kama sehemu ya agizo la kumtii Yesu Kristo watu wanaweza kufikiri kuwa tunawazimu
§  Tunapozungumza kuwa Damu yake inauwezo wa kuosha dhambi zetu
§  Tunaposema nyumbani kwetu ni mbinguni
§  Tunaposema Yesu atakuja tena
§  Tunaposema kanisa litanyakuliwa

§  Wafu watafufuliwa, kutakuwa na hukumu ya mwisho  na mengine yanayofanana na hayo
Watu wanaokuelewa 

Sasa amekamatwa na kushitakiwa kwa sababu hakuyakana yale maono Matendo 26:19 Paulo alikuwa katika vifungo kwaajili ya injili.

Wanaweza kudhani kuwa tumechanganyikiwa kwa sababu ya kumuamini Yesu lakini kuna badiliko kubwa na la ajabu hutokea ndani ya kila aliyemwamini Bwana Yesu, zaidi ya yote tunalo agizo la kuihubiri injili na kutokana na kuihubiri injili tunaweza kupitia majaribu ya aina mbalimbali hata kuwekwa Gerezani kama ilivyokuwa kwa Paulo, Festo alifikiri kuwa kusoma kwake kwingi kumemgeuza akili amekuwa na wazimu lakini Injili Ni maneno ya kweli nay a akili timamu.

Rev. Innocent Kamote
Mkuu wa wajenzi mwenye Hekima!