Ijumaa, 26 Agosti 2016

Jinsi ya kubadilisha Mfumo wa Maisha yako!


Andiko: 1Nyakati  4: 9-10 Biblia inasema hivi:-


“ Naye Yabesi alikuwa mwenye heshima kuliko nduguze; na mamaye akamwita jina lake Yabesi akisema; Ni kwa sababu nalimzaa kwa huzuni, Huyo Yebesi akamlingana Mungu wa Israel, akisema, Lau kwamba ungenibarikia kwelikweli na kunizidishia hozi yangu na mkono wako ungekuwa pamoja nami, nawe ungenilinda na uovu ili usiwe kwa huzuni yangu, Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.”


Utangulizi:

Kitabu cha Mambo ya nyakati kinaanza kwa kutupa Historia ya ukoo wa Kabila la Yuda na Simeon, hasa katika sura ya 4:1-43, Hata hivyo katika namna ya kushangaza sana mwandishi anaonyesha kuwa katika ukoo huo kulikuwa na mtu anaitwa Yabesi na inaelezwa kuwa alikuwa ni mtu mwenye heshima kubwa sana kuliko ndugu zake wote, ni katika aya mbili tu yaani ya 9-10 tunapata maelezo yote kuhusu Yabesi, na inaonekana kabla ya kuwa mtu mwenye kuheshimiwa sana miongoni mwa ndugu zake, inaonekana alikuwa mwenye kudharauliwa na mwenue huzuni kubwa sana, Biblia inaonyesha kuwa mama yake alimpa jina hilo YABESI akimaanisha juu ya huzuni, kwa sababu alimzaa kwa huzuni. Hatufahamu kwa undani sana ninikilitokea katika nyakati zake, ni shida gani iliipata familia yake lakini ni wazi kuwa alikuwa na mfumo wa maisha ya huzuni na alizaliwa katika mfumo huo na alipewa jina la jinsi hiyo, Habari njema ni kuwa hata hivyo Yabesi alifanikiwa kubadili mfumo wa Maisha yake na hatimaye kuwa mtu mwenye heshima sana, na mwenye utajiri mkubwa na mwenye kutegemewa na ndugu zake na kuheshimika sana

Jinsi ya kubadili mfumo wa maisha

Yabesi anatufundisha jinsi alivyofanikiwa kubadili mfumo wa Maisha na kufanikiwa kutoka katika huzuni kuwa mwenye furaha, kutoka katika maisha yasiyo na heshima kwenda kwenye kuheshimika, kutoka katika maisha yaliyojaa umasikini kuelekea kwenye utajiri wa kweli ni namna gani Yabesi alibadili mfumo wa maisha yake kanuni alizozitumia Yabesi zinauwezo mkubwa sana wa kubadili mfumo wa maisha yetu pia

1.       Yabes akamlingana Bwana Mungu wa Israel.
Kumlingana Mungu wa Israel maana yake ni kumtafuta Mungu kwa njia ya maombi na kukubali kufuata sheria zake, kwa ufupi ni kuhakikisha kuwa anauhusiano wa kweli na Mungu wa kweli aliye hai, Mtu yeyote yule atakayekubali kuwa na uhusiano thabiti na Mungu aliye hai, atafanikiwa, Yabesi aliona namna pekee ya kuondoka katika hali ngumu aliyokuwa nayo kwanza ni kutembea na Mungu, ni kuwa na Mungu wa kweli, ni kutembea na Mungu aliye hai ni kushikamana naye awaye yote atakayedumisha uhusiano na Mungu atafanikiwa

2.       Yabesi aliomba kwaaajili ya hali yake aliyokuwa nayo.
Ni muhimu kufahamu kuwa jambo lingine lililomletea Yabesi Heshima alikuwa muombaji, alikuwa akimuomba Mungu na tunaelezwa kuwa “Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba” mtu awaye yote akidumisha uhusiano wake na Mungu atakuwa na maombi yenye matokeo, maombi yenye kujibiwa, Yabesi aliomba Mungu ambadilishie hali ngumu alizokuwa nazo,ni ukweli usiopingika kuwa Yesu alituambia kuwa ninyi mkikaa katika neno langu, na maneno yangu yakikaa nadi yenu ombeni mtakalolote nayi mtatendewa.


3.       Yabesi aliomba kwamba Mungu apate kumbariki.
Ni muhimu kufahamu kuwa hakuna Baraka za muhimu zilizo kuu kama Baraka za kiroho, huo ndio msingi wa mambo mengine ya kimwili, Baraka za Mungu ni halisi na ndizo zinageuka kuwa vitu halisi, unaweza kuwa na kila kitu lakini bila mkono wa Mungu ukakosa amani, Yabesi hakutaka mchezo na Mungu aliomba kwa kudhamiria Lau Kwamba Ungenibariki kweli kweli Biblia ya KJV “Oh that You would bless me indeed” NIV “Oh, that you would bless me” hapa napenda Tafasiri ya Mfalme James KJV kwamba ungenibariki kweli kweli, unibariki hasa

4.       Yabesi aliomba kwamba Mungu apanue HOZI yake.
Neno hozi linazungumzia umiliki, mipaka, mtaji, mali heshima, uthamani, Thamani yake ilikuwa chini na sasa anamuomba Mungu azidishe uthamani wake kama alikuwa anazaraulika katika jamii mungu aongeze heshima,kama alikuwa anamiliki kidogo amiliki zaidi, NIV-expand my territory!, NASB-enlarge my border, KJV-enlarge my border, hapa pia napendezwa na tafasiri ya KJV kukuza uthamani, ili kubadilisha mfumo wa maisha ni muhimu tukamuomba Mungu akuze uthamani, awaye yote asilidharau Taifa letu, shule yetu, familia yetu, jamii yetu, lugha yetu, tamaduni zetu na maisha yetu Mungu ayaongeze thamani, tunaweza kudharaulika kwa sababu ya umasikini tulio nao, elimu tulizo nazo lakini Mungu anaweza kubadilisha mfumo wa maisha yako kwa kumsihi azidisha Hozi yako.

5.       Yabesi aliomba kwamba Mkono wa Mungu uwe pamoja naye.
Ndugu yangu hakuna jambo baya sana duniani kama mkono wa Mungu ukiondoka juu yako, Naomi alielewa vizuri kuwa mkono wa Bwana ukitoka juu yako hakuna mafanikio mikozi na balaa vinaweza kukuandama , kila unalolifanya halifanikiwi Ruthu 1:11-14, mkono wa Bwana ukiondoka juu ya mtu, kinachofuata ni uchungu kilio na maombolezo na hasara, hakuna utakachokifanya kinaweza kufanikiwa, Yabesi alielewa kuwa mkono wa Bwana ukiwa juu yako kila kitu kitafanikiwa na ndio maana Yabesi alifahamu umuhimu wa mkono wa Mungu kuwa pamoja naye Mkono wa Bwana ukiwa juu ya mtu, maana yake Bwana atakuongoza, atakulinda, atakupa kibali,utapata fadhili na kufanikiwa katika mambo yote.

6.       Yabesi aliomba kwamba Mungu amlinde na Uovu.
Kulindwa na uovu kunakotajwa hapa kumekuwa na tafasiri mbali mbali, uovu unaotajwa hapa unaweza kumaanisha pia dhambi, lakini hapa Biblia nyingi katika tafasiri zake zimetumia maneno kama matatu ya kiingereza “Evil, Pain, Harm, Stresses” ikimaanisha uovu wenye kuleta Huzuni, ni wazi kuwa dhambi inasababisha huzuni katika maisha yetu na ni vema kumuomba Mungu akatulinda na kutuweka mbali nayo, lakini Biblia inazungumzia zaidi, uovu unaoleta huzuni yaani hasara na kulindwa na maadui au uonevu, kimsingi tunaweza kumuomba Mungu atulinde na Uovu wa dhambi, Uovu wa taabu na huzuni, uovu wa maadui na kuonewa uovu wenye kuharibu mafanikio yetu Mithali 10:22 “Baraka za Bwana hutajirisha wala hachanganyi huzuni nayo

Mungu alijibu Maombi ya Yabesi na kubadilisha mfumo wa Maisha yake, awaye yote ambaye anataka kubadili mfumo wa maisha yake kutoka katika hali yoyote ile isiyokupendeza unaweza kumuomba Mungu kama Yabesi na Mungu atakusikia na kukujalia uliyoyaomba. Bwana ampe neema kila mmoja wetu kubadili mfumo wa maisha yake katika Jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai amen!

Rev. Innocent Kamote
Mkuu wa Wajenzi mwenye Hekima!

Jumanne, 23 Agosti 2016

Kuutetea Urithi wako!


Andiko la Msingi: 1 Wafalme 21:1-4

1. Ikawa baada ya hayo, Nabothi Myezreeli alikuwa na shamba la mizabibu katika Yezreeli, karibu na nyumba ya kifalme ya Ahabu mfalme wa Samaria. 2. Ahabu akasema na Nabothi, akamwambia, Nipe shamba lako la mizabibu nilifanye shamba la mboga, maana ni karibu na nyumba yangu; nami nitakupa badala yake shamba la mizabibu lililo zuri zaidi; au ukipenda, nitakupa fedha sawasawa na thamani yake. 3. Nabothi akamwambia Ahabu, Bwana apishe mbali nikupe wewe urithi wa baba zangu. 4. Basi Ahabu akaenda nyumbani kwake, ana moyo mzito, tena amekasirika, kwa sababu ya neno lile aliloambiwa na Nabothi Myezreeli, akisema, Sitakupa urithi wa baba zangu. Akajilaza kitandani pake, akageuza uso wake, akakataa kula.”

    
 Naboth aliuawa akijaribu kuutetea urithi wa Baba zake kutokana na tamaa ya mfalme Ahabu na malikia muovu Yezebeli

Utangulizi:

Ni muhimu kufahamu kuwa Biblia inazungumzia kwa undani sana kuhusu UMUHIMU WA URITHI, Katika Israel Urithi ulitambuliwa kama moja ya maswala muhimu sana na kama mtu aliuza urithi alizarauliwa sana katika jamii ya kiebrania na kuitwa jina la dharau kama mtu asiyemcha Mungu au mwesharati Katika Waebrania  angalia kwa mfano Waebrania 12: 16-17 Biblia inasema hivi;-

16. Asiwepo mwasherati wala asiyemcha Mungu, kama Esau, aliyeuuza urithi wake wa mzaliwa wa kwanza kwa ajili ya chakula kimoja. 17. Maana mwajua ya kuwa hata alipotaka baadaye kuirithi baraka, alikataliwa (maana hakuona nafasi ya kutubu), ijapokuwa aliitafuta sana kwa machozi.”

Angalia kwa makini jinsi Esau alivyoitwa katika maandiko, alidharaulika kama mtu asiyemcha Mungu na mwesharati kwa nini? Kwa sababu aliuza urithi wake

Ni nini maana ya neno Urithi?

Urithi kwa asili ni Baraka kutoka kwa Mungu, ambazo zinaweza kutafasirika katika ulimwengu wa kimwili na kuhusisha fedha, mali, mashamba, mtaji karama, vipawa, maisha yako ya baadaye, Elimu, Kazi, Mume, mke watoto,zawadi na kadhalika.

Baraka hizo zinaweza kuweko duniani au kwa mtu toka kizazi hata kizazi, mtu anaweza kupokea urithi kutoka kwa Mungu, Roho Mtakatifu, wazee wetu, na Baraka hizo na mali zikadumu, urithi kwa kawaida hauwi mali ya mtu mmoja unakuwa ni mali ya familia, watu wako au jamii yako, urithi unaambatana na Heshima mfano Mgombe urais wa republican Donald Trump ambaye ni tajiri mkubwa sana duniani mwenye kuheshimika sana lakini inajulikana wazi kuwa utajiri wake na heshima yake inatokana na urithi wa utajiri wa Majumba kutokakwa Baba yake, na kwa mujibu wa maandiko katika torati Mungu alikataza kabisa kuuza urithi soma Hesabu 36:7 Biblia inasema haya:-

Hivyo hapana urithi wo wote wa wana wa Israeli utakaotoka kabila hii kwenda kabila hii; kwa kuwa wana wa Israeli watashikamana kila mtu na urithi wa kabila ya baba zake.”

Unaweza kuongezea na andiko kama Walawi 25:23Nayo nchi haitauzwa kabisa kabisa; kwani nchi ni yangu mimi; maana ninyi ni wageni na wasafiri wangu

Unaweza kuona Mungu alikataza kabisa kuuzwa kwa urithi lakini alikataza pia kuuza nchi, mtu aliyeuza alihesabiwa kama mtu asiyemcha Mungu au mwesharati, mtu anayefanya ukahaba ni tofauti na mtu anayefanya uasherati, makahaba huuza miili yao ili kupata kipato, wanatoa miili yao kwa mapatano ya kupata faida, anayefanya uasherati anatoa mwili wake bure, anautoa akitarajia kuwa hatimaye ataolewa mwisho wa siku anajikuta amechezewa lakini haolewi, anakuwa amepoteza tumaini, amepoteza muda na huku amesha chezewa vya kutosha na hakuna alichoambulia, mtu anayechezea urithi anachezea maisha yake ya baadaye naya jamii yake, shetani wakati wote ataangalia mbele katika mfumo wa maisha yako na kuanza kupambana na mafanikio yako ya baadaye, kumbuka alipambana na Yusuphu kwa sababu ya ndoto zake akitumia wivu wa kaka zake,
Watanzania kamwe tusikubali kuuza ardhi, wala wanyama wetu, tusikubali kuwaachia wakawa mawindo wala kuwauza katika nchi zao kwani baadaye hawatasafiri kuja kwetu kuangalia urithi tuliopewa na Mungu, tusikubali madini na malighafi nyinginezo kuchukuliwa hovyo

Katika 1Wafalme 21:1-4 Tumeona Jinsi Naboth alivyokuwa na msimamo, Mfalme Ahabu alitamani sana kulinunua shamaba la mizabibu la Nabothi , Jambo hili lilikuwa kinyume na Torati, Kama tulivyosoma, Nabothi alielewa vizuri sana swala hilo, na alijitia nguvu kumjibu mfalme kwa ujasiri 

BWANA APISHIE MBALI NIKUPE WEWE URITHI WA BABA ZANGU?

Ingawa majibu ya Nabothi yaligharimu maisha yake na familia yake kwani wote waliuawa na mfalme ili kujipatia shamba hilo kupitia mkewe muovu Yezebeli , Hata hivyo Nabothi anabaki kuwa mtushujaa na jasiri na mwenye imani na mcha Mungu kwani alijua umuhimu wa kuutunza urithi wa Baba zake, Mungu akupe neema na ampe neema kila mmoja wetu kuhakikisha kuwa kwa gharama yoyote anatunza na kuutetea urithi wa taifa letu, jamii yetu, ndugu zetu na wazazi wetu.
Ukiyajua hayo heri wewe ukiyatenda!

Jumapili, 7 Agosti 2016

Ubatizo wa Kihistoria!

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mungu ametenda mambo makuu ya ajabu katika kufanikisha kazi ya injili kwa vijana tangu tumeanza seminari yetu ambapo vijana wa kiume wanalelewa katika uadilifu na maadili ya neno la Mungu, tumekuwa tukibatiza idadi ya wanafunzi wapatao 70 hivi kila mwaka lakini mwaka huu imekuwa rekodi kubwa zaidi ya ubatizo kupata kutokea hiiinanifanya niifurahie kazi ya Mungu ninayoifanya mashuleni idadi na majina na piacha za vijana waliomkiri Yesu na kukubali kubatizwa mwaka huu tarehe 31 July 2016 ni kama ifuatavyo

UBATIZO: majina na Idadi ya waliobatizwa

1.       DAVID H. MWAISEJE
2.       GEORGE J. NCHILA
3.       FRANCIS J. MWAMBENE
4.       GIFT S. ISSA
5.       BARAKA N. LUWAMBO
6.       EBENEZER J. MAPENDO
7.       FREDY F. KIONDO
8.       STEVEN M. KAJELELO
9.       EMMANUEL M. IRARI
10.   KELVIN A. KESSY
11.   NIKITA P. KWEKA
12.   AIDAN B. BUGUFI
13.   ENDRICK E. KAGUO
14.   EBENEZER JIM KAMOSHO
15.   PHILIPO S. LUSWEMA
16.   DAVID J. KASSA
17.   GEOFREY GERAZI
18.   BARAKA H. KIDA
19.   SHADRACK JOSEPH
20.   EMMANUEL J. DAUDI
21.   BRIAN P. MANI
22.   JUNIOR ISSACK
23.   JUNIOR R. NGANYA
24.   JOHN B. TUMAIN
25.   JOSHUA J. KAGARUKI
26.   MARTIN P. MARTIN
27.   JULIUS J. MLIGHA
28.   ETHAN M. MGANGAMUNDO
29.   HILLARY V. KISHE
30.   MEDARD A. GABRIEL
31.   BYSON VICENT. NGOWI
32.   JACKSON G. CHAUSA
33.   OPTATUS TINKAMWASIGILE
34.   IPYANA S. KANYIKI

35.   DOMINICK A. ADRIANO
36.   IMANI RUTIGINGA
37.   STEVEN E. FUNGO
38.   SHIMIMANA A. MAYENGE
39.   EMMANUEL  P. GONGO
40.   GABRIEL  W. PAYOVELA
41.   GODBLESS F. MINDOLO
42.   HENRY G. SHIRIMA
43.   GEOFREY W. PAYOVELA
44.   ABRAHAM A. NYENZA
45.   CLEMENT G. SEMHANGE
46.   PROSPER  J. GREGORY
47.   RYAN M. SWAI
48.   OCCEANIC B. MTOKAMBALI
49.   GRAND I.GEORGE
50.   VICENT S. MHANDO
51.   VICTOR J. TEKWA
52.   JAMES H. MMBANDO
53.   THOMAS J. KAZIMILI
54.   GREGORY S. SARUNI
55.   INNOCENT J.KANYUNYU
56.   MARCO T. MKWIZU
57.   KEEVEN F. MAGOGO
58.   REVOCATUS GODWIN
59.   JOSHUA J. KIRINGO
60.   DICKSON D. DAUDI
61.   NDUMBALO F. MASHIMI
62.   RON B. BILL
63.   ELVIN STANLEY
64.   JAVENCE Y. MASSAWE
65.   DAVID S. KILASILE

66.   SYLIVESTER P. MATAGI
67.   DAVID J. ISIDORI
68.   KELVIN D. SWAI
69.   BRIGHTON M. NDOSSY
70.   KASSAM KIONDO
71.   FLAVIAN FESTO
72.   SAMUEL I. PONDA
73.   FRANCIS O. MNGAZIJA
74.   YUSUPH J. SEMHUNGE
75.   ARNOLDO A. MOLLEL
76.   PRINCE M. LINJE
77.   MARK DAVIES
78.   LODRICK. L. LUGUSI
79.   BENJAMIN M. HAMILTON
80.   EDWIN SANGA
81.   LOUIS .P.NKEMBO JR
82.   EMMANUEL G. KOMANDO
83.   WAHENGA R. MKUCHA
84.   MARTIN G. MHONE
85.   EMMANUEL I. PONDA
86.   GODWN A. MONGI
87.   BEKA KAWANARA
88.   BRIGHT HOPE- JOEL
89.   DAVID   M. JOHN
90.   JOSHUA LABAN
91.   RICHARD C. MAFUPA
92.   CHRISTOPHER S. OWISSO.

93.   INNOCENT SHEGHEMBE
94.   EMILY JOHN
95.   RICHARD KILEO
96.   MATHIAS PETER
97.   PETER MARK
98.   ARASMUS ARUMAS
99.   EMMANUEL NYELO
100.                        AGAPE  P. MVUNGI.
101.                        PROSPER DANIEL
102.                        FIRMIN BENDERA





 Wanafunzi wa Living Stone Boys' Seminary waliokubali kumpa Yesu Maisha wakiwa tayari kwa kuitimiza haki yote
 Katika hali isiyokuwa ya kwaida safari hii watoto wameipokea Injili na kukubali kubatizwa kuitimiza haki yote Marko 16:16 " aaminiye na kubatizwa ataokoka

 wanafunzi waliobatizwa walikuwa 102 na Raia wa Korea Dr. Sony na Binti mmoja wa kikorea Jumla ya waliobatizwawapata 104 Idadi yao ilikuwa tarehe 31July 2016 jumapili






Ubatizo wa Kihistoria 31st July 2016 Jumapili.
Maandiko yanatimia.
"Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari." Mathayo 28:19-20

 James Mmbando akibatizwa na mkuu wa wajenzi mwenye Hekima
James Mmbando kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Emilyn Mathew kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
 Agape Mvungi akibatizwa na mkuu wa wajenzi mwenye Hekima Rev, Innocent Kamote
Agape Mvungi kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
 
 Firmin Bendera akibatizwa na mkuu wa wajenzi mwenye Hekima Rev . Innocent Kamote
Firmin Bendera kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Firmin Bendera akibatizwa na mkuu wa wajenzi mwenye Hekima Rev . Innocent KamoteFirmin Bendera kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Firmin Bendera akibatizwa na mkuu wa wajenzi mwenye Hekima Rev . Innocent KamoteFirmin Bendera kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

Peter Sophia Mark kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

Brighton Ndosi kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Brighton Ndosi kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Brighton Ndosi kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

Prosper Daniel kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
 
Propser Daniel kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Prosper Daniel kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

Andrew Matika kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen



Erasmas Arumas kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Erasmas Arumas kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen




Innocent Sheghembe kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Innocent Sheghembe kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen


Oceanic Barnabas Mtoka mbali (Mtoto wa Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies Of God)kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen


David Mbaga kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
David Mbaga kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
David Mbaga kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
David Kilasirekwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Vincent Mhando kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen





Joshua Laban Simpamba kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Samuel Isaack Ponda kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Javence Masawe kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Javence Masawe kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Immanuel Isaack Ponda kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Immanuel Isaack Ponda kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen

kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Victor Tekwa kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Victor Tekwa kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Rev. Missionary Andrew Park, Rev. Dr. George Nywage na Rev. Innocent Kamote wakimtukuza Mungu baada ya kukamilisha zoezi la kubatiza wanafunzi 102 na raia wa Korea kusini wawili mmoja akiwa ni mwana Sayansi na mvumbuzi maarufu sana Diniani Dr. Son
Rev, Dr. George Nywage na Rev. Dr. Jotham Mwakimage wakibadilishana mawazo na wageni
Rev. Andrew Park akimtambulisha Rev. Dr. Jotham Mwakimage na Rev. Dr. George Nywage kwa wageni wa kikorea walikuja kushuhudia ubatizo wa aina yake
Rev, Dr Jotham Mwakimage Ritied Bishop akitambulishwa kwa wageni wa Kikorea waliokuja kushuhudia zoezi zima la Ubatizo wa kimataifa
Nikiwa na Kiongozi wa Ibada Nikson Tarimo ambaye aliandikisha majina ya wabatizwaji kwa agizo langu
Nikiwa na Kiongozi wa Ibada Nikson Tarimo ambaye aliandikisha majina ya wabatizwaji kwa agizo langu
Agape Mvungi kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Andrew Matika kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Brigthon Israel Ilunde kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen
Brighthope Joel Songela kwa kuwa umemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako Mimi kwa mamlaka niliyopewa na Mungu nakubatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu ameen